Numbers 3:39

39 aJumla ya hesabu ya Walawi waliohesabiwa na Musa na Haruni kwa amri ya Bwana, kufuatana na koo, pamoja na kila mume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walikuwa 22,000.

Copyright information for SwhKC